kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Recruitment process yao ikoje mkuu.na mishahara yao ni kiasi gani ?Hao jamaa wazushi sana,wanakusumbua kwenye recruitment process then ukija kwenye kazi Mshahara kiduchu balaa. Mimi nilitemana nao hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Recruitment process yao ni complicated sana,usumbufu mwingi sana na mishahara yao ya kawaida sana kama wachina tuu.Recruitment process yao ikoje mkuu.na mishahara yao ni kiasi gani ?
Recruitment process yao ni kama wanatafuta mfanyakazi mwenye vina saba vya umalaika vile wapuuzi sana hawaRecruitment process yao ni complicated sana,usumbufu mwingi sana na mishahara yao ya kawaida sana kama wachina tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangese sana. 600k?Alistair hawajielewagi
Mshahara laki 6
Vp ndogo kwako?Wangese sana. 600k?
Laki 6 ndio watu wangelalamika usawa huu?Alistair hawajielewagi
Mshahara laki 6
Ndio, bado haijafika take home yangu. Mbali sana. Na sikubali mtu anirudishe nyuma.Wangese sana. 600k?