kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Sasa Si watamtajia huko hukokaitwa kwenye interview nafasi ya sales
Pengine akigundua mshahara hauridhishi anaweza piga chini interview na kuokoa gharamaYaani anaitwa interview unaanza kuulizia mishahara mtandaoni dah.......hata kazi hajapata
Si aende atajua tu kila kitu akifika mkuu. Hii mitandao inawalemaza sana hii, vijana hamtaki tena kushirikisha busara
Ni currency za wapi hizo KSD?Mi nawafahamu, kwa ajira mpya wanalipa KSD 2500
Kuna ubaya gani mtu akipata ABC?Yaani anaitwa interview unaanza kuulizia mishahara mtandaoni dah.......hata kazi hajapata
Si aende atajua tu kila kitu akifika mkuu. Hii mitandao inawalemaza sana hii, vijana hamtaki tena kushirikisha busara