Kuna anaye ijua hii kampuni ya kutengeneza bidhaa za plastiki inayoitwa Mbope?

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
204
Reaction score
191
Habari Wakuu?

Kuna anaye ijua hii kampuni ya kutengeneza bidhaa za plastiki inayoitwa Mbope? Nimepata tenda ya kusupply hizi bidhaa, nahitaji kuingia nao mkataba.

Nimeenda kwenye kiwanda kimoja na kuoneshwa hilo jina la hiyo kampuni, nimeambiwa bidhaa yoyote nitakayo ileta itaisha. Nimeangalia Instagram mara ya mwisho kupost ilikua 2017 namba za simu walizo weka sasa hivi ukipiga anapokea mtu mwingine.

Mwenye kujua wapi kiwanda kilipo, kama kuna kiwanda kingine kinachotengeneza hizi bidhaa za plastiki anijuze tafadhari.
Asante.
 
Tafuta viwanda vya vifungashio dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…