STILL BELIEVE
Member
- Aug 1, 2014
- 9
- 4
Habari wana JamiiForums,
Kuna mtu anifahamu hio kampuni "JOB JUNCTION"? Niliona wametuma kazi nikaaply, kufika wananiambia wao ni recruitment agency kazi yao ni kuwaunganisha wanaotafuta kazi na waajiri then ukipata kazi unawapa 30% ya mshahara wa kwanza.
Cha kushangaza et wanasema kuna registration form unatakiwa ujaze ambayo gharama ni 30,000 hapo ndo nikaona matepeli, ila cha kushangaza wana ofisi wana TIN, Business Licence & Everything.
Wamenipigia simu jana niende leo kujaza form na 30,000 mkononi. Sijaenda.Nimekuja kwanza humu kupata muongozo kwenu ndugu zangu kuna mtu keshakutana nao? Are they LEGAL?