ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
ndio unipe sasa.!Ungeomba kaz tu upewe
Inawezekana muumba amempa ujasiri.Wadau kwema. Poleni na majukumu. Nina hasira sina kazi maisha ni kama yamenipiga. Serikali itukumbuke gradubte. Tuna huzuni kuu.
Uh apart from hayo nijielekeze kwenye mada. Ni muda umepita tangu ndugu spika aliejiuzulu hajaonekana kwa uwazi. Ako wapi jamani. Kwa wanaofahamu kumhusu wanijuze. Hii ni mbaya sana. Watawala au watu tusichukue nafasi ya .
Mungu kwa kuwakosesha uhuru wengine. Undumilakuwili mbaya sana. Madam ji... Uh nina hasira mnipe kazi kwanza. Tuombeane.
Tuseme then tutende tuyasemayo. Na hawa mawaziri waache kutupa hope graduate. Am out.
ProMagufuli. Kwa sasa .Magulilwa
Ujasiri gani?Inawezekana muumba amempa ujasiri.
Alikuwa mtu muhimu. Naomba kujua alipo. Afanye hata press kama vipi.why should we care about him?. mtu ana miliki mali kibao, majumba na lodges za kutosha pale dodoma.
ni ujinga kuumiza kichwa kumuwazia mtu kama huyo?.
Wewe huuwezi ndiyo maana unauliza.Ujasiri gani?
Taarifa gani? Kuwa yuko CHAMWINO amaMtaletewa taarifa, subirini kidogo.
Uh kumbe kutoonekana ni ujasiri. Ndugai for presidency 2025. Atake asitake.Wewe huuwezi ndiyo maana unauliza.
Tuwe wavumilivu eti. Ningoje bunge lijaloHis Political Odyssey might make him another Balali. Let's wait and see!
Wizara ya afya au?Wasiliana na kikundi cha COVID-19! Huenda wana taarifa zake!
Katumwa aende kutibiwa!Ndugai ameagizwa kwenda India kutibiwa.
Aisee, hujui kuwa dunia duara. Kwani ako wapi watu wanamzushia huko hi ni mbaya. Wafanye kumuonyesha au aonekane ili wazimwe mdomo hao wasiotakia mema serikali tukufu ya bi tozo na spika aliejiuzulu.Alipokuwa anamkejeli lisu alidhani dunia ni ya kwao na john.
Mungu ni mwema.
Job hana faida, hatumuhtaji huyu mtu wenu.
Ai, aombe na uhifadhi kama .LemaNdugai ameagizwa kwenda India kutibiwa.