Kuna anayejiandaa na mitihani ya CFA?

Kuna anayejiandaa na mitihani ya CFA?

KHMKHMKHM

New Member
Joined
Jan 18, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Habari,

Naulizia mtu anayejiandaa na mitihani ya CFA steji ya kwanza itakayofanyika mwezi wa sita, 2020.

Nimuulize mambo mawili matatu. Vizuri akiwa Dar.
 
Back
Top Bottom