Kuna anayejua kampuni au shirika linalofadhili masomo

Kuna anayejua kampuni au shirika linalofadhili masomo

Joined
Nov 25, 2017
Posts
16
Reaction score
3
Habarini wana JF,

Kama kuna mwana JF anajua labda kuna shirika au kampuni inazamini (fadhili) masomo ya stashahada (diploma) ya ualimu kwa masomo sayansi naomba msahada tafadhali mana kuna kijana ana ufaulu mzuri sana lakini anashindwa kuendelea na masomo uwezo wa kifedha ni mdogo sana kwenye familia yao.
 
Back
Top Bottom