EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni jambo la kushangaza sana katika kipindi hiki cha Sci & Tech eti mtandao unashika mjini tu.Nimeamua kuipiga chini.Halafu inawezekana ufanyike utundu niweze Tumia line ya mtandao mwingine
View attachment 1709942
Model inajulikana chiefCha kwanza ufahamu model yake, full model.
Yupo humu JF sio huyo jamaaHiyo inawezekana ukipata unlock code yake. Ukiweka simcard ya mtandao mwingine inakupa option ya kuweka unlock code.
Check yule jamaa anayejiita streetwinners huwa anauza codes
Yupo humu JF sio huyo jamaa
Nina sim aina ya oppo f9 pro inatumia laini ya TTCL tu mwenye kuweza kutoa lock itumie line zote a nicheck pmView attachment 1711247
Upo wapi mkuuizo code ninazo mkuu nicheki tufanye baishara
Ni cha mtandao gani?Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni jambo la kushangaza sana katika kipindi hiki cha Sci & Tech eti mtandao unashika mjini tu.Nimeamua kuipiga chini.Halafu inawezekana ufanyike utundu niweze Tumia line ya mtandao mwingine
View attachment 1709942
smileNi cha mtandao gani?
Ni smile mkuu.Wameniangusha sana hawa jamaaNi cha mtandao gani?
Smile si wanasemaNi smile mkuu.Wameniangusha sana hawa jamaa
Kina speed hatari ila ukitoka tu pembezoni mwa mji hupati tena coverageSmile si wanasema
Kipo speed sana
Hakifai ni kama TTCL haoKina speed hatari ila ukitoka tu pembezoni mwa mji hupati tena coverage
Hao viumbe TTCL ndio wa ovyo kabisa.Wiki iliyopita nilikuwa nina tatizo la kukwangua vocha vibaya nikafuta token kila siku napiga naongea na customer services naambiwa tatizo linashughulikiwa niwe mvumilivu kwa saa 24 kumbe hizo saa 24 ni siku 3 ikimaanisha siku moja ina masaa 8 ya kazi.Mpaka sasa nikihesabu ni siku tano zimepita kila nikiwapigia hamna la maana ni usenge mtupu TTCLHakifai ni kama TTCL hao
Nunua vocha ingine tu mie nimefanya kazi customer care naelewa hizo sound nimewapiga sana wateja wa AirtelHao viumbe TTCL ndio wa ovyo kabisa.Wiki iliyopita nilikuwa nina tatizo la kukwangua vocha vibaya nikafuta token kila siku napiga naongea na customer services naambiwa tatizo linashughulikiwa niwe mvumilivu kwa saa 24 kumbe hizo saa 24 ni siku 3 ikimaanisha siku moja ina masaa 8 ya kazi.Mpaka sasa nikihesabu ni siku tano zimepita kila nikiwapigia hamna la maana ni usenge mtupu
Hahaha aisee we jamaa usikute hata mimi umeshanipiga sound.Nimenunua vocha nyinginezo na naendelea kudaiNunua vocha ingine tu mie nimefanya kazi customer care naelewa hizo sound nimewapiga sana wateja wa Airtel