Kuna anayejua sababu ya kutenguliwa kwa hawa viongozi? Karibu utujuze

Kuna anayejua sababu ya kutenguliwa kwa hawa viongozi? Karibu utujuze

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Nadhani kuna jambo halipo sawa, kuna baadhi ya watu wanakonekti doti ya TCRA kutoa pongezi kwa nape ila nadhani ni beyond to the point.

Nadhani kimbelembele cha Ridhwani kuhangaika na mambo ya kimataifa wakati hajaweza kuleta impact yeyote kwa Tanzania especially kipindi kile anahangaika na yule jamaa wa Israeli.

UCSAF hawa jamaa hawako active kwenye utoaji wa taarifa may be kuhusu changamoto za mtandao.

Tujuzane wadau.

Pia soma=> Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) watumbuliwa
 
1721760777368.png
... LOADING!
 
Back
Top Bottom