Nadhani kuna jambo halipo sawa, kuna baadhi ya watu wanakonekti doti ya TCRA kutoa pongezi kwa nape ila nadhani ni beyond to the point.
Nadhani kimbelembele cha Ridhwani kuhangaika na mambo ya kimataifa wakati hajaweza kuleta impact yeyote kwa Tanzania especially kipindi kile anahangaika na yule jamaa wa Israeli.
UCSAF hawa jamaa hawako active kwenye utoaji wa taarifa may be kuhusu changamoto za mtandao.