mimi nmeacha kutumia hii bank inakaribia mwaka sasa akiba yangu naweka nmb hao wana makato makubwa aiseeWakuu hii app ya CRDB ni pasua kichwa. Inaweza kukuaibisha muda wowote.
1. Ukitoa msg kwa cardless hautumiwi msg
2. Ukigamishia hela kwenye simu inashindikana
3. Ukituma hela bank nyingine ni kizungumkuti.
CRDB mmefail sana kwenye hii app
Duuuuu.....naamini wamesikiaa..Wakuu hii app ya CRDB ni pasua kichwa. Inaweza kukuaibisha muda wowote.
1. Ukitoa msg kwa cardless hautumiwi msg
2. Ukigamishia hela kwenye simu inashindikana
3. Ukituma hela bank nyingine ni kizungumkuti.
CRDB mmefail sana kwenye hii app
kwahio tatizo la sku 1 ndo crdb imefelii?Wakuu hii app ya CRDB ni pasua kichwa. Inaweza kukuaibisha muda wowote.
1. Ukitoa msg kwa cardless hautumiwi msg
2. Ukigamishia hela kwenye simu inashindikana
3. Ukituma hela bank nyingine ni kizungumkuti.
CRDB mmefail sana kwenye hii app
Tatizo Wana makato mkubwa.......Benki nzuri sana hii kibiashara,iboreshwe nafikiri wanaelemewa sana.
Nmb sishauri,hua naweka pesa kwa tahadhari tu tena visent.
Crdb Bado hakuna wa kuifikia kwa Tz
Umefanya utafiti mkuu mi niliona CRDB ni nzuri kuliko NMBmimi nmeacha kutumia hii bank inakaribia mwaka sasa akiba yangu naweka nmb hao wana makato makubwa aisee