Kuna application inayoweza kurudisha contacts zilizofuta.?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Nimejaribu kutafuta playstore badluck nilizokuta nazo zimeshindwa kurecover namba ambazo nilizofuta intentionally.
 
Haiwezekani kama hauna backup kokote ndo zineenda hizo.
 
Download contants playstore, nenda Kule Kuna sehemu ya trash utapata ambazo umefuta nadhani ndani ya mwezi mmoja
 
Nimejaribu kutafuta playstore badluck nilizokuta nazo zimeshindwa kurecover namba ambazo nilizofuta intentionally.
Nenda kwenye contacts.google.com, kumbuka uwe umesign inna email iliyo kwa simu kisha nenda kwenye deleted trash utazikuta huko na usirestore. Note uwe umezifuta katika kipindi kisichozidi mwezi
 
Nimejarib nimeona kuna baadh ya namba zangu nilishazifuta zimeonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…