Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umelewa.Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?
Mkuu unakunywa sana na maji hunywi ?Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?
Naomba madaktari mnijibu tafadhali, nimepimwa hospital nimeambiwa,nipunguze pombe otherwise nitatembea.
Wajuzi wa Mambo naomba majibu,am confused
kwanza imekuwaje mpaka ukaenda kupima.Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?
Naomba madaktari mnijibu tafadhali, nimepimwa hospital nimeambiwa,nipunguze pombe otherwise nitatembea.
Wajuzi wa Mambo naomba majibu,am confused
Mkuu mbona athali yake umeshaambiwa huko hospitali na wewe mwenyewe umeisema, kuwa usipopunguza utatembea? Unataka athali gani tena? Au unataka formula ya chemical reaction itakayosababisha utembee?Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?
Naomba madaktari mnijibu tafadhali, nimepimwa hospital nimeambiwa,nipunguze pombe otherwise nitatembea.
Wajuzi wa Mambo naomba majibu,am confused
Utakuwa ukigongewa tu demu, mchepuko na mke wako kwasababu dushe litakuwa limesinyaa tu.Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?