Nimesema "AU"duuh mkuu. nimehongwa tena? we kiboko!
Kwa upande wangu naweza kusema ndio kunaweza kuwa na hatari au laa.Wakuu. Kutokana na mlolongo wa foleni barabarani kuna wakati najikuta nasimama foleni kwa muda mrefu huku injini ya gari ikiunguruma.
Kutokana na hali hii kuna wakati nashawishika kuzima gari ili 'kuokoa' wese.
Je hii zima washa ya gari haina madhara kwenye gari wakuu.