Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

Hilo gari utaliwashaje bila ufunguo kama ni outo na huo ufunguo utautoaje likiwa switch on labda hiyo switch iwe mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Funguo za gari lake zitakuwa zimesagika meno kwa maana hiyo ana uwezo wa kuuchomoa likiwa linawaka.

Jibu kwa muuliza swali.
Haina adhari lakini kwanini ufanye hivyo? Hapa duniani fanya kila kitu kwa kusudi maalam.

Pamoja na hilo sawa lakini kama hizo funguo zimesagika basi akiwasha halitawaka na kama akifanikiwa kuchomoa ninavyojua mimi kama hiyo switch ni nzima steling itajilock

Gari linawaka kaka. Utakuta ufunguo na switch vyote vimelika.

Watu wanawasha gari kwa kuunganisha wire tu itakuwa switch iliyolika ufunguo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom