Funguo za gari lake zitakuwa zimesagika meno kwa maana hiyo ana uwezo wa kuuchomoa likiwa linawaka.Hilo gari utaliwashaje bila ufunguo kama ni outo na huo ufunguo utautoaje likiwa switch on labda hiyo switch iwe mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa naogopa kusahau so huwa nachomoa naweka mfukon mpk ntakapotaka kuzima gariFunguo za gari lake zitakuwa zimesagika meno kwa maana hiyo ana uwezo wa kuuchomoa likiwa linawaka.
Jibu kwa muuliza swali.
Haina adhari lakini kwanini ufanye hivyo? Hapa duniani fanya kila kitu kwa kusudi maalam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na hilo sawa lakini kama hizo funguo zimesagika basi akiwasha halitawaka na kama akifanikiwa kuchomoa ninavyojua mimi kama hiyo switch ni nzima steling itajilockFunguo za gari lake zitakuwa zimesagika meno kwa maana hiyo ana uwezo wa kuuchomoa likiwa linawaka.
Jibu kwa muuliza swali.
Haina adhari lakini kwanini ufanye hivyo? Hapa duniani fanya kila kitu kwa kusudi maalam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Ila kama unalipenda gari lako, jaribu kuulizia kuhusu kubadili switch.Huwa naogopa kusahau so huwa nachomoa naweka mfukon mpk ntakapotaka kuzima gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari linawaka kaka. Utakuta ufunguo na switch vyote vimelika.Pamoja na hilo sawa lakini kama hizo funguo zimesagika basi akiwasha halitawaka na kama akifanikiwa kuchomoa ninavyojua mimi kama hiyo switch ni nzima steling itajilock
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijabisha hilo nalijua mkubwa ila kwa nini afanye hivyoGari linawaka kaka. Utakuta ufunguo na switch vyote vimelika.
Watu wanawasha gari kwa kuunganisha wire tu itakuwa switch iliyolika ufunguo?
Sent using Jamii Forums mobile app