Elections 2010 Kuna athari zozote kwa CCM 2010-2015 Election??

Elections 2010 Kuna athari zozote kwa CCM 2010-2015 Election??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
WAKUU,
Naomba kwenu weledi wa politic hivi CCM itapata athari zozote kutokana na kufuata mfumo wzamani wa kura ya maoni kutoka kwa wananchi??Je kubwagwa kwa wabunge takribani 70 kunamtikisiko wowote kwenye chama??
Je walioshindwa wanaweza kutimkia vyama vingine vya upinzani??
:A S 39:
 
Back
Top Bottom