Uwaga inaondoa stress pia,huna stress kaka[emoji15] [emoji15] [emoji33] ?Dah,halafu naona kama imekuwa addiction!Kila nionapo ndizi nashawishika kununua!
Yaani nina bonge la depression mkuu ;(
Hakika. Asante.Hii ingepelekwa jukwaa la Daktari wa JF.
Kwa wakina mama inanogesha sana kunako 6/6 inaweza kusababisha hata ku- faint kutokana na sweetness! KuzidiHabari za muda huu wakuu,
Naomba kujulishwa kama kuna athari zozote za kula ndizi kwa wingi kwa siku na pia kama kuna athari zozote za kunywa maji mengi kwa siku.
Mimi nina kawaida ya kula ndizi kumi(10) kwa siku na pia kila asubuhi huwa nakunywa maji lita moja,mchana lita mbili,Jioni lita moja na wakati wa kulala lita moja!sijui kama kuna madhara yoyote,hivyo kama yapo naomba kufahamishwa.
Asante!
Maji mengi ni mazuri sanaa kiafya ila yakizidi huwa yana athari ambazo niHabari za muda huu wakuu,
Naomba kujulishwa kama kuna athari zozote za kula ndizi kwa wingi kwa siku na pia kama kuna athari zozote za kunywa maji mengi kwa siku.
Mimi nina kawaida ya kula ndizi kumi(10) kwa siku na pia kila asubuhi huwa nakunywa maji lita moja,mchana lita mbili,Jioni lita moja na wakati wa kulala lita moja!sijui kama kuna madhara yoyote,hivyo kama yapo naomba kufahamishwa.
Asante!
Sukari ya asili mkuu ..Sina uzoefu kwenye hilo lakini nijuavyoa ndizi pia zina sukari kwa hiyo kiwango chako cha kula sukari kinaongezeka jambo ambalo laweza kuwa hatari