Kuna athari zozote za kupanda mboga mbaga katikati ya miche mipapai?

Kuna athari zozote za kupanda mboga mbaga katikati ya miche mipapai?

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu habari za masiku wakuu nimelima mapapai nikafikiria kwenye zile nafasi nilizoacha baina ya mche na mche ni mipana sana nikaona niweke hapo mboga za majani kuna athari zozote kwenye hiyo miche ya mipapai. Umri wa miche ya mipapai ni mwezi.
 
Kuna semina ilikuwa inatolewa elimu na TAHA (Tanzania horticulture Association) tulihudhuria ya kilimo cha mipapai ya kisasa mbegu za carfonia F1 na malekia F1, lkn katika maswali tuliyouliza ni pamoja na hili lkn tuliambiwa hairuhusiwi kabisa kupanda zao lingine lolote lile liwe la mboga mboga au matunda, si mchicha, si kunde, si nyanya, wala maboga au matango. HAIRUHUSIWI KABISA.
 
Da mimi nimeshawek matuta niache
 
Da mimi nimeshawek matuta niache
Hapo maamuzi ni yako, ni kama unapoambiwa dawa hii mwisho wa ku expire ni june 2017, na sasa ni october 2018, sasa wewe unaposema ila sasa nimeshainunua kwa gharama kwahiyo nimeze au niache, utajua wewe , labla cha kukusaidia chunguza sana kwanini wataalamu wanasema hairuhusiwi kwa kuwauliza maafisa kilimo na waliosoma horticulture
 
Back
Top Bottom