Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
hatujuiMbona kimya wakuu
haina athari ila angalia zina mchango gani kwa papai.Si kuna wakulima humu
Asante mkuuhaina athari ila angalia zina mchango gani kwa papai.
Mfano kuongeza nutrients kama nitrogen kwenye udongo.
Da mimi nimeshawek matuta niacheKuna semina ilikuwa inatolewa elimu na TAHA (Tanzania horticulture Association) tulihudhuria ya kilimo cha mipapai ya kisasa mbegu za carfonia F1 na malekia F1, lkn katika maswali tuliyouliza ni pamoja na hili lkn tuliambiwa hairuhusiwi kabisa kupanda zao lingine lolote lile liwe la mboga mboga au matunda, si mchicha, si kunde, si nyanya, wala maboga au matango. HAIRUHUSIWI KABISA.
Hapo maamuzi ni yako, ni kama unapoambiwa dawa hii mwisho wa ku expire ni june 2017, na sasa ni october 2018, sasa wewe unaposema ila sasa nimeshainunua kwa gharama kwahiyo nimeze au niache, utajua wewe , labla cha kukusaidia chunguza sana kwanini wataalamu wanasema hairuhusiwi kwa kuwauliza maafisa kilimo na waliosoma horticultureDa mimi nimeshawek matuta niache
Yeah hahahahahatujui