Kuna baadhi ya Ma Influencer wa hapa JF in a one way other wanakatishwa tamaa na hatuwaoni tena

Kuna baadhi ya Ma Influencer wa hapa JF in a one way other wanakatishwa tamaa na hatuwaoni tena

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Nimelitumia hilo neno "influecer" lakini kwa JF ni la hovyoo.
Yani inamaanisha Chawa.

Sasa mimi sitaki wahita hawa ni chawa ila ni Greatest Boldied Indivuduals. Lakini wameamua tu ku potea..! Why

Mshana Jr karibu
 
Hao uliowa-tag ndio wachangie hao pekee yao au?
 
🤣🤣🤣
Sasa Mkuu hata ukiwaona inakusaidia na kukuongezea nini ?

Watu wana I'ds zaidi ya moja na wakati mwingine wanakuwa na majukumu mengine ambayo huwafanya wakae mbali na mitandao ua Kijamii.
 
Bas niongezeeni tag...

Damn! Why do I see hate everywhere!?
 
Back
Top Bottom