Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐๐ป๐ฎ ๐ฏ๐ฎ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฝ๐๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐๐ท๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐ฆ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฒ๐ท๐ฎ ๐๐ฎ๐ผ
Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha (bahati nasibu) zikiwa zinakushawishi kucheza mchezo fulani ili ufanikiwe ni ujumbe ambao unakuja kwa kujirudia rudia kila siku kwenye simu yako.
Unakuta mtu wala apendi kucheza michezo ya kamari lakini unakuta kila siku lazima apate tangazo la michezo ya kubashiri au umejishindia kiasi fulani cha pesa fanya hivi kujichukulia zawadi wakati ujacheza je hizi taarifa zinatoka wapi ?
Asilimia kubwa taarifa hizi zinatoka kwenye makampuni ya simu ambayo ufanya kazi ya kuuza taarifa za wateja wao kwa makampuni mengine yanayohitaji huduma ya kujitangaza kuhusu jambo fulani labda kubashiri na kuweza kuwatumia watu waliojisajili kwenye huo mtandao.
Wahanga wengi hawapendi kabisa hii michezo lakini hujikuta bila ridhaa yao wanakuta jumbe za kamari kwenye simu zao na wengi wanashindwa kujiondoa kwani hawajui hata wameunganishwa vipi inafika kipindi mpaka makampuni yanakukata pesa kwa huduma ambayo hata ujajiunga.
Kiuwalisia jumbe zote tunazotumiwa za matangazo zingine hata hatujajiunga huwa zinakua taarifa binafsi za mteja zimeuzwa kwenda makampuni mengine ya kubashiri na kupelekea mteja bila kujua kupotea ambazo azipendi kwenye simu yake.
Wakati mwingine unakuta umeiweka pesa kwenye simu yako utakuta jumbe za ajabu kama vile Boss unaachaje kucheza ujishindie mamilioni ya pesa, Soko la bure nk
Ni muhimu mamlaka zinahusika na masuala ya mitandao itunge sheria kuhusu kudhibiti mitandao ya simu kwa kutunza taarifa za mteja maana wakati mwingine makampuni ya simu yanaiba taarifa zetu.