Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Vyombo vya habari mnasikitisha sana, yaani wapuuzi wanakutana, wanapanga kwenda kuongea na nyie waandishi, hoja kubwa hawajui Feitoto alipo, wanatuhumu azam kwa kumrubuni, halafu walivokuwa wehu eti wanatuhamasisha tusinunue bidhaa za azam, mliokwenda kuongea na waandishi wa habari Leo kuhusu suala la feitoto ni wazembe na wazurulaji wakubwa, pumbavu kabisa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app