Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mpuuzi wewe na washabiki wenzako wa Yanga,Simba inahusika vipi kwenye mpango wenu wa kususia bidhaa za Azam? Unazo akili za kukutosha kweli wewe?Vyombo vya habari mnasikitisha sana, yaani wapuuzi wanakutana, wanapanga kwenda kuongea na nyie waandishi, hoja kubwa hawajui Feitoto alipo, wanatuhumu azam kwa kumrubuni, halafu walivokuwa wehu eti wanatuhamasisha tusinunue bidhaa za azam, mliokwenda kuongea na waandishi wa habari Leo kuhusu suala la feitoto ni wazembe na wazurulaji wakubwa, pumbavu kabisa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wewe mwenyewe mpuuzi sasa biashara ya fei inahusiana na wewe?au unaleta uchawa tuVyombo vya habari mnasikitisha sana, yaani wapuuzi wanakutana, wanapanga kwenda kuongea na nyie waandishi, hoja kubwa hawajui Feitoto alipo, wanatuhumu azam kwa kumrubuni, halafu walivokuwa wehu eti wanatuhamasisha tusinunue bidhaa za azam, mliokwenda kuongea na waandishi wa habari Leo kuhusu suala la feitoto ni wazembe na wazurulaji wakubwa, pumbavu kabisa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ni ujinga wa hali ya juu mkuuVyombo vya habari mnasikitisha sana, yaani wapuuzi wanakutana, wanapanga kwenda kuongea na nyie waandishi, hoja kubwa hawajui Feitoto alipo, wanatuhumu azam kwa kumrubuni, halafu walivokuwa wehu eti wanatuhamasisha tusinunue bidhaa za azam, mliokwenda kuongea na waandishi wa habari Leo kuhusu suala la feitoto ni wazembe na wazurulaji wakubwa, pumbavu kabisa.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hatutaki muichanganye Simba na wajinga. Umesikia wapi Simba wameitisha press kuzungumzia Feisal?Hawa Kulwa na Dotto wa Kariakoo ni miyeyusho Mkuu.