Kuna baadhi ya Taasisi/ Mashirika hapa nchini yana pesa bwana, we acha tu!

Kuna baadhi ya Taasisi/ Mashirika hapa nchini yana pesa bwana, we acha tu!

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Just imagine kuna taasisi/Shirika gawio lake kwa Serikali leo hii imetoa mamilioni ya fedha/Billions plus.
Wengine taasisi zetu hata Millions 50 zimeshindwa😁.

Taasisi/ Mashariki kama haya ndio yanakula keki ya Taifa kwa utulivu kwani yanaweza kujiendesha na kulipa mishahara kwa watumishi wake kwa namna wanavyotaka..

Hongereni sana,
TPHPA nimewaona.
 
Mashirika mengine yanatoa gawio wakati yana hali mbaya
Ni sawa na mgonjwa anamchagia mgonjwa mwingine damu.
Atcl, Ttcl na Trc kama aya mashirika yametoa gawio basi nasema maigizo yaendelee.
 
Just imagine kuna taasisi/Shirika gawio lake kwa Serikali leo hii imetoa mamilioni ya fedha/Billions plus.
Wengine taasisi zetu hata Millions 50 zimeshindwa😁.

Taasisi/ Mashariki kama haya ndio yanakula keki ya Taifa kwa utulivu kwani yanaweza kujiendesha na kulipa mishahara kwa watumishi wake kwa namna wanavyotaka..

Hongereni sana,
TPHPA nimewaona.
TRA,TPA,TANAPA,MADINI NA TFF
 
Mengi ni maigizo, kuna wakati TTCL ilitoa gawio kisha ikaomba ipewe Tril 1 kujenga minara
Hapa wanacheza na lugha tu.... "Gawio" ni technical term katika biashara, ni sehemu ya faida inayorudishwa kwa wamiliki wa hisa za kampuni.

Kinachotelewa hapa ni maduhuli.... Sheria inazitaka taasisi zinazokusanya pesa kwa namna yoyote, asilimia kadhaa ipelekwe serikali kuu. Kwahiyo hata kama shirika hazina pesa kabisa, kama limekusanya mapato au kuuza chochote, wanatakiwa wapeleke hiyo asilimia serikali kuu.

Kikwete alikuwa hachukui, kwa sababu ilikuwa ni ujinga. Wanakupa hela asubuhi, jioni wanakuja kuomba mishahara 🤣 🤣 🤣
 
Just imagine kuna taasisi/Shirika gawio lake kwa Serikali leo hii imetoa mamilioni ya fedha/Billions plus.
Wengine taasisi zetu hata Millions 50 zimeshindwa😁.

Taasisi/ Mashariki kama haya ndio yanakula keki ya Taifa kwa utulivu kwani yanaweza kujiendesha na kulipa mishahara kwa watumishi wake kwa namna wanavyotaka..

Hongereni sana,
TPHPA nimewaona.
Wakati Sido kila mwaka inazalisha hasara si bora lifutwe tu
 
Gawio na mchango wa mashiriki ni usanii tubadilishe. tubadilishe ziende kwenye uwekezaji moja kwa moja wa makampuni wenye tija,na yatangazwe.
 
Back
Top Bottom