Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
AiseeeTCRA wamekimbizana na NMB, noma sana
Vipi MzeeBaba huko NAOT,, mmetao ngapi😁TCRA wamekimbizana na NMB, noma sana
NAOT haizaishiVipi MzeeBaba huko NAOT,, mmetao ngapi😁
Wewe ulitupwa wapi vile Mzee baba,,, huko kwako hakuzalishi pia..?NA
NAOT haizaishi
Kama hawa TAMISEMI hivi wametoa hata mia kweli?Sio mchezo,kuna wengine hata likizo wanashindwa kulipa
TRA,TPA,TANAPA,MADINI NA TFFJust imagine kuna taasisi/Shirika gawio lake kwa Serikali leo hii imetoa mamilioni ya fedha/Billions plus.
Wengine taasisi zetu hata Millions 50 zimeshindwa😁.
Taasisi/ Mashariki kama haya ndio yanakula keki ya Taifa kwa utulivu kwani yanaweza kujiendesha na kulipa mishahara kwa watumishi wake kwa namna wanavyotaka..
Hongereni sana,
TPHPA nimewaona.
Hapa wanacheza na lugha tu.... "Gawio" ni technical term katika biashara, ni sehemu ya faida inayorudishwa kwa wamiliki wa hisa za kampuni.Mengi ni maigizo, kuna wakati TTCL ilitoa gawio kisha ikaomba ipewe Tril 1 kujenga minara
Kiukweli kaka huku mambo Alhamdulillah,,mwanzo nlivyoingia nlikuwa sielewi elewi ila sasa hivi mambo yanaelekea kunyooka zaidi, ni taasisi yenye kuzalishaNA
NAOT haizaishi
Hongera sanaKiukweli kaka huku mambo Alhamdulillah,,mwanzo nlivyoingia nlikuwa sielewi elewi ila sasa hivi mambo yanaelekea kunyooka zaidi, ni taasisi yenye kuzalisha
Wakati Sido kila mwaka inazalisha hasara si bora lifutwe tuJust imagine kuna taasisi/Shirika gawio lake kwa Serikali leo hii imetoa mamilioni ya fedha/Billions plus.
Wengine taasisi zetu hata Millions 50 zimeshindwa😁.
Taasisi/ Mashariki kama haya ndio yanakula keki ya Taifa kwa utulivu kwani yanaweza kujiendesha na kulipa mishahara kwa watumishi wake kwa namna wanavyotaka..
Hongereni sana,
TPHPA nimewaona.
Naskia we ni mzee wa NAOT vipi huko hali ya maokoto kwa entry level?TCRA wamekimbizana na NMB, noma sana
Sawa na TamisemiNaskia we ni mzee wa NAOT vipi huko hali ya maokoto kwa entry level?