Kuna baadhi ya wanawake si watu wazuri

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na uhusiano na demu mmoja hiv ambaye ni mwanachuo ambaye huyo demu na me tunasoma chuo kimoja.Rafiki yangu alimpenda yule kiasi ambacho alitaka amuoe huyo demu.

Pamoja na uhusiano wao kukaa muda mrefu ila changamoto kubwa iliyojitokeza ni mama mzazi wa rafiki yangu alikuwa apendi mtoto wake amuoe huyo demu na sijui ni kwann cos rafiki yangu hakuniambie sababu ni Nini?

Rafiki yangu kutokana na mapenzi aliyonayo kwa huyo binti alimnunulia gari aina ya ist ingawa yeye gari Hana na kipato chake ni Cha kawaida lakini pia akawa analipa hela ya chumba alichomkodia karibu na chuo anachokaa huyo binti.Siku moja huyo binti alimpigia simu mpenzi wake ambaye ndio rafiki yangu nakumuuliza leo utakuja huku rafiki yangu akamjibu leo sitakuja nitakuwa busy kumbe yule dada alikuwa pia na boyfriend wake mwingine wa hapo hapo chuo

Bahati nzuri rafiki yangu alimaliza shughuli zake saa 12 jioni na alikuwa amepanga aende kwa mjomba wake kutokana na miadi walipanga.Baadae mjomba wake akampigia simu nakumwambia Kuna dharula nimepata sasa hiv leo tughailishe rafiki yangu akakubali akaona basi Bora aende tu kwa mpenzi wake.

Alivyofika akapewa habari na majirani kwamba mtu wake kaingiza mwanaume ndani rafiki yangu akapaniki Sana na kuugonga mlango mpaka ukavunjika akaingia ndani na kuanza kumpiga huyo mwanaume siku hiyo hiyo ni kapokea simu kutoka kwa demu wa rafiki yangu akaniambie nije hiyo sehemu.Nilivyofika nikakuta watu wengi wamejaa wanampiga yule mwanaume aliyechepuka na demu wa mshikaji wangu ikiwemo rafiki yangu huku demu wake amemfunga na kamba. kile kitendo kilinishangaza Sana tokea tuwe na urafiki na mshikaji wangu kwa muda mrefu sijawahi kumuona ana hasira kama siku hiyo cos mshikaji wangu ni mpole,mshaarabu na mtaratibu.

Nikabidi niingilie Kati wanadau wamuachie huyo kijana nikamuuliza rafiki yangu unamjua huyu kijana? akasema hamfahamu kama umfahamu kwanini umpije ikiwa sijui kama anafahamu demu wako anatoka na wewe nikamwambia tena wakati umewakuta wanafanya ngono kwani demu wako alilazimishwa au aliridhia mwenyewe kama demu wako alikubali kuwa na huyu jamaa kosa ni la demu wako au la huyu jamaa si Bora udili na demu wako kuliko huyu jamaa.

NB: hili tukio ni la ukweli na limetokea juzi tu ili Jambo limeniumiza Sana japo sikutendwa me rafiki yangu amemnunulia gari ikiwa yeye Hana,amegombana na mama yake kisa huyu demu,rafiki yangu amejitoa kwa vitu vingi kwaajili huyu demu still anasalitiwa unataka upendwe kiasi gani ili ulizike?Kuna vitu vingine hata me mwenyewe siwezi kufanya kwa demu wangu lakini jamaa yangu anafanya
 
Kwa akili za uyo jaama yako ana haki kabisa ya kugongewa
 
Kama umeanza kulitambua kuwa baadhi yawanawake sio watu wazuriii basi ujue unakaribia kudanchi
 
Huyo jamaa yako ni superlative ya neno FARA. yaani ni FARAEST au kwa lugha nyingine ni Fara wa kiwango cha mwisho kabisa na hakuna fara zaidi yake.

Acha akomeshwe, manina zake hili a jifunze.

Sema hicho alichofanyiwa daah!! atakuja kuwa ni capricious Monster kwa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…