Shozylin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 341
- 699
Kuna baadhi ya watu wameumbwa kupinga Kila kitu, kuna Uzi mmoja wa jamaa anazungumzia bishara zinazo lipa zaidi kuliko baadhi ya watumishi serikalini.
Ajabu nikwamba, mtu anatokea kupinga bishara flani kutolipa wakati idea za bishara zinazo lipa kazikumbatia kwapani.!
Tunona Kila siku wanabadiri magari, nyumba zinajengwa na biashara wanazo miliki ni hizi hizi zinazo tajwa daily na ndizo zilizopo mitaani, basi Kama unapinga tupe deal au biashara zianazo lipa wahuni wajilipue nazo.
Kama huna hizo idea kaa kmya au pinga kwa akili basi.