McCord JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 231 Reaction score 569 Apr 26, 2023 #1 Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua. Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.
Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua. Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.