Kuna bia moja ya TBL ninaipenda lakini iko kwenye ukanda fulani na haipatikani kwenye mkoa niliopo ambapo pia nina vibiashara vyangu vya kinywaji na ningependa kuiuza hapa.
Nilipomuuliza mmoja wa wahusika nikaambiwa hiyo ni ya ukanda huo tu hairuhusiwi kuuzwa nje ya ukanda!
Nilipomuuliza mmoja wa wahusika nikaambiwa hiyo ni ya ukanda huo tu hairuhusiwi kuuzwa nje ya ukanda!