Kuna binti nampenda ila sioni future naye, ila pia sitaki kufanya 'hit-and-run'. Kukwepa kumuona siwezi. Nifanye nini?

Don't be nice guy umerogwa na nani?
 
Hivi wewe ni mwanaume ?
 
Mie domo zege nategeme pesa kutongoza
Mkuu kwa hawa viumbe wa sasa unaweza kujikuta unatumia millioni kwa wanawake watatu tu au wanne wakati hiyo inatakiwa hadi inaisha wawe atleast 15 hivi kwenye orodha halafu hapo miaka ishaenda mpaka unatimiza hiyo idadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…