Kuna binti nataka kumsaidia mdogo wake je, naweza kumdo huyu binti?

Mbundenali

Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
64
Reaction score
37
Wadau naomba msaada wenu huyu binti ana mdogo wake (me) anaumwa jino. Nimejaribu kumtuma aende kwa baba yk kama anaweza kumgharamia matibabu, binti ameniambia kuwa baba yake hana uwezo. Je nikitoa msaada bila mzazi kujua itakuwaje?
 
kama kweli umedhamilia kumsaidia msaidie na usihitaji kitu chochote in return,au uwe unataka kutumia matatizo yake kujifaidisha kitu ambacho sio kizuri, sio lazima umwambie baba yake!
 
Dah,dunia zaidi ya uijuavyo.
Umepewa bure,toa bure bro.
 
Ukipata chance ya kusaidi mkubwa fanya hivyo coz dunia hii ni duara & "WATS GOES AROUND, COMES BACK AROUND"
NAmsaada mzuri ni ule unaotolewa bila ya mkono wapili kujua. "ROGGER DAT"
 
be fair to yourself and to the lady; kutaka kum-do kwa sababu tu eti mdogo wake ana matatizo siyo uungwana
 
Huo ni ubazazi, siku na wewe utapata shida halafu jamaa litakodolea macho saburi lako...
 
Watu mna roho za ajabu. Kumsaidia mtu hadi umchokonoe. Tendeni wema malipo mbinguni. Muwe japo haya kidogo.
 
Uyafanyayo watanyiwa pia binti zako na nduguzo. Sie wote ndugu. Hiyo tabia utaendelea nayo hadi maofisini, hapati mtu kazi hadi atoe rushwa ya ngono. Nadhani una umri mdogo bado, nasikitika sana unaelekea kubaya sana na kwenye laana. Mungu akusaidie. :thinking:
 
Utawa do wangapi??????

Ukiwa mwalimu wa chuo si itakuwa balaa????

Tenda wema uende zako.
 
Saidia tu mkuu, ni hela ngapi unaziacha bar na washikaji?
 
mbona kawaida sana tu mtu wangu kusaidiana? usione shaka wewe msaidie na Mungu atakulipa
 
Ukipenda kulipwa kwa kila jema ufanyaloipo siku nawe utalipia mema watakayokufanyia wanaume wenzako
 
yawezekana pia mimi sielewi lakini naona majibu yanayotolewa kulinganisha na hoja ya mtoa mada ni mbingu na ardhi.
 
yawezekana pia mimi sielewi lakini naona majibu yanayotolewa kulinganisha na hoja ya mtoa mada ni mbingu na ardhi.
Kichwa cha bandiko ni tofauti na bandiko lenyewe....
  1. Kama kichwa ni sahihi: wataka kuuziwa? Saidia bila dhamira ovu..
  2. Kama bandiko ni sahihi: kusaidia haihitaji ruhusu ya mzazi.....
 
Acha uchizi wewe akili yako ilishakimbilia kwenye uzinzi,mara unaomba ushauri umu-do or not mara babake akijuwa? huna msaada kwa huyo binti..................msaada wa muungwana hauna masharti

Wadau naomba msaada wenu huyu binti ana mdogo wake (me) anaumwa jino. Nimejaribu kumtuma aende kwa baba yk kama anaweza kumgharamia matibabu, binti ameniambia kuwa baba yake hana uwezo. Je nikitoa msaada bila mzazi kujua itakuwaje?
 
ninachoweza kusema ni kuwa umetuonesha jinsi wewe daktari wa meno ulivyo mgonjwa.
Sitashangaa ukitaka pia kumgeuza huyo mdogo wake kisa umekosa penzi kwa dadake na babake kashindwa kulipa.Sasa usaidie kitu gani?
Katika list ya binadamu walioumbwa na moyo wa nyama wewe haupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…