Kuna blood group E negative?

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,255
Reaction score
1,565
Naomba msaada wa kujua kama kuna blood group E negative, maana kuna ndugu yangu ameambiwa amepungukiwa damu inatakiwa mtu mwenye blood group E negative.

Me najua kuna A, B, AB na O tu.
 
Naomba msaada wa kujua kama kuna blood group E negative, maana kuna ndugu yangu ameambiwa amepungukiwa damu inatakiwa mtu mwenye blood group E negative
Me najua kuna A,B,AB na O tu
Inawezekana makundi ya damu sikuhizi ni mengi sana!
Lakini makundi makuu yanayojulikana sana ni hayo ulotaja.
 
Naomba msaada wa kujua kama kuna blood group E negative, maana kuna ndugu yangu ameambiwa amepungukiwa damu inatakiwa mtu mwenye blood group E negative
Me najua kuna A,B,AB na O tu

Nadhani mtakuwa mmechanganya hiyo itakuwa ni group O negative!! hili group ni shidaaaa!!! ni la watu wachache sana duniani nikiwemo mimi!! Jaribuni kuhangaika
 
Nadhani mtakuwa mmechanganya hiyo itakuwa ni group O negative!! hili group ni shidaaaa!!! ni la watu wachache sana duniani nikiwemo mimi!! Jaribuni kuhangaika

Sisi wenyewe tupo mkuu ana sh. Ngapi nimgawie japo litre
 
kuna O negative, nadhani ndio litakuwa hilo, ila wamechanganya.
O(-) nyingi ni wazungu waafrika wengi ni O(+) ndo maana wazungu walipompima mwafrika kwa mara ya kwanza
na kugunduwa ni O(+) walihisi ni nyani! Nyani wengi ni O(+) hapo ndo theory ya Rhesus factor ilipolalia!
negativity au positivity ya kundi la damu inaitwa Rhesus factor!
 
Mimi nina O-
 
mkuu if so why tunalalamika blood bank hakuna damu kwann tusikamate hawa ngadu tutoe damu zao
 
mkuu if so why tunalalamika blood bank hakuna damu kwann tusikamate hawa ngadu tutoe damu zao
Wizi tu na ufisadi wa nyinyiem ni marufuku kununuwa damu! Ile damu tunayoitoa pale tunapokuwa na mgonjwa ni barter trade tu ya Kiswahili!
 
kuna system nyingi zinazotumika katika blood grouping ila kwa sasa zinazotumika ni 5 tu,common kati ya hizo ni ABO blood grouping system na rhesus blood grouping system.

ABO system ina group 4 ambazo ni A,B,AB na O blood groups

rhesus system ina group zaidi ya 50 ila common ni 5 tu ambazo ni D,E,e,c, na C
(according to blood group antigen)

Rh factor ni neno tulilolizoea na hili hutumika kutofautisha kati ya mtu mwenye rhesus D positive(RhD+) na rhesus D negative(RhD-)

kwahyo blood group E lipo mkuu(according to rhesus blood grouping)
 
Wakuu msaada nasikia kuna aina ya group ya damu watu wenye damu aina hiyo hata wakipata maambukizi ya ukimwi hawawezi kuugua je ni kweli au uongo
 
hivi nyinyi mnaosema kuwa hamna kitu kama hicho nyio ndo mnajua sana!!!......au mnadhani ile biology yenu ya form 3 ndo kila kitu??,,.. kiufupi common blood grp zipo tano lkn kuna blood grp more than 5. ...na inategemeana na location kwamfano huku kwetu africa blood group o ndo maarafu lkn sehemu zingine kama asia blood grp a ndo maarafu n.k.....kwaio acheni kulkalili ya form 3
 
Hatuongei kwa kubahatisha... Professionalism matters..sasa wewe endelea kua libishi
 
Wakuu msaada nasikia kuna aina ya group ya damu watu wenye damu aina hiyo hata wakipata maambukizi ya ukimwi hawawezi kuugua je ni kweli au uongo

Hii haijawa confined kwenye kundi moja la damu
Kuna a special and very rare group of people wanaitwa 'Non developers'.Hawa wana mutation kwenye gene inayocode production ya surface proteins CCR5 na CXCR4 ambazo ndio virusi hutumia hizi receptors kuattach na hatimaye kupenya kwenye T helper cells
Ukiwa na hii mutation you will only have HIV but you will never develop to AIDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…