Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ukiwa unatokea riverside kuna daraja kubwa la mto chini ya mto utakuta kuna kundi kubwa la kina mama wanafua kupitia bomba kubwa la dawasco lililopasuka.
Kupasuka bomba sio ajabu ila chakushangaza lile bomba lina miaka 4 tokea 2020 mpaka leo dawasco hawana mpango wa kuliziba.
Kituko kingine ni wa eneo la ubungo wanashida ya maji ambayo ni kama week ya pili kuna sehemu hayajatoka kwa hiyo ukipita pale ni kawaida kuona group kubwa la watu hasa wamama wanafua sababu maeneo yao hakuna maji.
Ni kawaida kusikia dawasco wanasema kuna shida ya maji ilihali kuna mabomba yamepasuka yanazaidi ya miaka 4 Haya ndo maajabu ya dawasco na Tanzania.