KERO Kuna bomba la maji limepasuka kata ya Oloiren Arusha lakini hadi leo hakuna hatua zilizochukuliwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Lyimo tsk

Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
13
Reaction score
5

Attachments

  • IMG_20260626_121220_681.jpg
    1.5 MB · Views: 13
Haya ndiyo matokeo ya kulazimishiwa viongozi ambao hamjawachagua. Hawajali. nganeni kuondoa huu utawala haramu wa wauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…