Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioni hajauza hata mia tano na anataka kula na ana familia. Nikamuonea huruma nikampa elfu tano.
Hakuna mkakati wowote wa serikali wa kushughurika na hii unemployment rate kubwa ambayo aimeibuka ghafla as if tayari tuko kwenye full employment.
Mfano shule hazina walimu wa arts, sayansi wala biashara ziko empty kabisa. Ukienda mashuleni utamkuta mwl wa physics anafundisha kuanzisha form one Hadi form six peke yake na wanafunzi ni wengi sana. Vivyohovyo kwa arts.
Hakuna sababu kwa Nini kuwe na unemployment kubwa hivyo wakati employment vacancies zipo ispokuwa tu ni poor planning na kuwachukulia vijana poa tu.
Siyo wote wanaojiuza mtaani wanapenda serikali Bado haioni tatizo liko wapi zaidi sana wanakimbizana nao tu ili kuwakamata.
Haiingii akilini mtu anasoma muhimbili five years halafu AA anakuja kuwa bodaboda au kuuza kahawa mtaani. Kuuza kahawa hakuhitaji degree wala masters.
Slowly mnatengeneza vikundi viovu bila kujijua. Mi nawaonea huruma sana vijana na badala ya Serikali kashughulikia swala hilo ndo Bado inadeal na wanasiasa sijui maridhiano asijua asali.