Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

Mfumo wa chama kimoja kuhodhi madaraka ya vyama vingine.
 
Tatizo la ajira ni kubwa sana:-
Ukiangalia watumishi wa serikali na mashirika yake labda wako laki 6; na hawa mpaka kuachia nafasi ni hadi wastaafu.

Kwa mazingira hayo, ni vigumu serikali kuajiri watu wote; kinachoweza kuajiri watu wengi ni sekta binafsi; muhimu serikali kuweka sera wezeshi kwa sekta binafsi ili walio wengi waweze kuajirika na maisha kusonga mbele.​
 
Hoja ya mtoa mada ni kwamba tatizo lipo hivi sasa. Haisaidii kusema kwamba limekuwepo tangu majuzi. Nia ya mtoa mada ni kwamba ufumbuzi utafutwe. Kufahamu kwamba tatizo limekuwepo tangu majuzi hakutusaidii kulitatua. Huko ni kujaribu kupalilia kwenye uongozi wa sasa kwa kutupia lawama kwenye Ilani ya 2015. Kama uongozi wa sasa una tatizo na Ilani hiyo, ujitokeze hadharani na kusema Ilani hiyo haitekelezeki kwa sababu kadha wa kadha. La sivyo, tunaficha madhaifu yetu kwa kulaumu tu uongozi uliopita.
 
Sijui kwanini unaamini kwa wanasiasa iwe ccm au Chadema hakuna chama kipo kwaajili ya maslahi ya watu ndio maana hata Wapinzani sasa hivi nao wanalamba asali pamoja na CCM
 
Kwanini tatizo la tangu 2015 ila lionekane sasa? Ajira hakuna miaka mingi nchi hii but awamu ya tano ndio kbs issue ya ajira ilikua changamoto hata kupandishwa madaraja marufuku kulipwa pesa wafanyakaz ilikua mtihan hasa madeni yao! Sometimes tuwe tu wakwel tatizo la ajira asitupiwe Samia kbs cz ni janga la muda mref!!! Hili jumba bovu watupiwe CCM in general but sio Samia!!
 
..Tanzania hatuna vipaumbele sahihi.

..Mfano ni ujenzi wa makao makuu Dodoma.

..Kwanini tuliamua kujenga mji wa serikali na viongozi, badala ya jiji la viwanda, au miradi ya kilimo na ufugaji?
 
Waache waendelee kulamba "asali", lakini wakae wakijua kwamba binadamu huwa wanafikia hatua "wanachoka". Mapinduzi mengi hutokea kwa sababu ya watu kuchoka. Ukoloni uliondolewa kwa sababu ya watu kuchoka. Na kinachowachosha zaidi watu, mara nyingi huwa hali ngumu ya maisha na pale wanapoona viongozi wao hawawapendi na kuwajali.
 

..sasa Samia si ndio kiongozi wa Ccm?

..unaweza vipi kuilaumu Ccm huku ukiwakinga viongozi wake?
 
Pumbavu zako chawa....
Kila kitu unaleta uchawa.
 

..na chama kilichofanya uharibifu unaouzungumzia ni Tanu / Ccm.

..Watz tunatakiwa kuwapa somo wanasiasa kwamba wakiharibu basi chama chao kinakosa kura na kukaa benchi.

..Ccm inajiamini kupita kiasi. Wanaamini kwamba hata wakiharibu bado Watanzania watawachagua.

..Wakati umefika kwa Watanzania kuweka utamaduni mpya wa kuwawajibisha watawala, na kubadili serikali kupitia sanduku la kura.

..Kuna kila sababu za kuiwajibisha Ccm.
 
Sasa hapo umemsimanga au umemsifia??!
Anyway, sometimes unaweza fikiri unamzamisha mtu kumbe ndo unamwinua..
Sasa Mh. Samia si na mwenyewe afanye kurekebisha makosa ya mtangulizi wake?
Maana kwa sasa yeye ndo Rais.
 
Viongozi vilaza Kama Mbowe waliopata zero form six ndo wanajinasibu wataleta maendeleo na Magufuli alikuwa na PhD fake ya kutoka Udsm hi nchi vilaza ndo wanapata political mileage and nothing else.
Udini utakuua taahira we!

Wewe hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamlaumu Magufuli na Mbowe
 
Shule za Kata zina walimu wa kutosha?
We ni taahira kumbe!

Hujamwelewa hata mleta mada

Na samia akiendelea kujisahau huku nyie vilaza mkimpa moyo kwamba atalaumiwa Magufuli, hakika ataona kila rangi
 
Kwani uongozi wa hii awamu ya sita uliingia kwa njia ya MAPINDUZI?
Kama ni mapinduzi yalifanyika tuelezwe tujue. Na tukishajua, tutaacha kuulalamikia uongozi kwa maana tutajua hatukuwachagua sisi na hivyo hatuna Mamlaka ya kuwalaumu.
 
We ni taahira kumbe!

Hujamwelewa hata mleta mada

Na samia akiendelea kujisahau huku nyie vilaza mkimpa moyo kwamba atalaumiwa Magufuli, hakika ataona kila rangi
Pole sana ndugu yangu unayeamini kuwa bila Magufuri nchi haiwezi kwenda,uwepo wa Rais Samiah unakuonyesha waziwazi kuwa urais siyo ushujaa bali ni kuongoza nchi.Hata mtoto mdogo akipewa urais atafanya tu madam sheria zipo na vyombo vya ulinzi na usalama vipo.Utawala si ubabe utawala ni akili.
 
Mfumo wa chama kimoja kuhodhi madaraka ya vyama vingine.
Exactly! kura za wananchi haziamui mshindi.......wizi wa kura na kupora uchaguzi haviwezi kuwa na baraka na ndo vinaleta laana kwenye nchi, maana watu wanakalia madaraka kwa hila au kwa mabavu bila kuwa na ridhaa halali ya wananchi.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…