Tatizo pia Sisi Mafundi hatubadiliki kujiongeza kuendana na wakati. Kama ubunifu unakuwepo hiyo M1 mteja ataitoa tuuSema tu mafundi wa tanzania tunakutana na changamoto sana. Hususani changamoto za clients.
Kazi ya 1m mtu anakulilia ana 300,000, yaani unabaki tu unashangaa.
Hali ngumu za uchumi za wateja wetu zinapelekea shida kwa mafundi.
Anyway, tutafika.
Sababu clients tunajua katika hiyo M1 tunapigwaSema tu mafundi wa tanzania tunakutana na changamoto sana. Hususani changamoto za clients.
Kazi ya 1m mtu anakulilia ana 300,000, yaani unabaki tu unashangaa.
Hali ngumu za uchumi za wateja wetu zinapelekea shida kwa mafundi.
Anyway, tutafika.