peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Uzuri ni kwamba kuna kitu lazima ifanyiwe kaz mamb ya kukusanya vikundi haisaidii!! Hii 👇👇Wameshindwa kusoma alama za nyakati
Hao ndio wapiga kura siyo nyie keyboard warriors. We unaweza kupanga foleni upigwe na jua kusubiri zamu yako ya kupiga kura? Wapiga kura wa nchi hii tunawafahamu. Wapiga kura wa nchi hii ni wakulima, wafanyakazi wa kawaida, mamantilie, machinga, bodaboda na watu wanaofanana na hao. Wafanyabiashara hasa wa kati na wakubwa ni nadra sana na pengine siyo rahisi kwenda kupanga foleni kusubiri kupiga kuraAkili kubwa kuongozwa na akili ndogo. Ndilo tatizo katika Africa.