Hao ndio wapiga kura siyo nyie keyboard warriors. We unaweza kupanga foleni upigwe na jua kusubiri zamu yako ya kupiga kura? Wapiga kura wa nchi hii tunawafahamu. Wapiga kura wa nchi hii ni wakulima, wafanyakazi wa kawaida, mamantilie, machinga, bodaboda na watu wanaofanana na hao. Wafanyabiashara hasa wa kati na wakubwa ni nadra sana na pengine siyo rahisi kwenda kupanga foleni kusubiri kupiga kura