KERO Kuna changamoto kubwa kuunganishiwa huduma ya maji safi katika manispaa ya Mtwara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

tenanzo

New Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Kuna changamoto kubwa kuunganishiwa huduma ya maji safi katika manispaa ya Mtwara,inaweza kukuchukua mpaka mwaka mzima kupatiwa huduma,na saivi imefikia hatua inaonekana ni jambo la kawaida kuunganishiwa maji kupata maji baada miez sita mpk mwaka.Mamlaka zinahusika zitusaidie waige mfano wa TANESCO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…