Ipo tayari kumbe...ookayHuo mradi uko chini ya ya DAWASCO/DAWASA na wanaopata huduma wanailipia.
Bili ziko mbili ya maji safi na majitaka. Hii ya majitaka ni kwa wale waliounganishwa kwenye mtandao wa mamlaka ya maji ambao ni wazalishaji wakubwa wa majitaka.
Yeah kwa mfano carwash, mahotel, mabar, magereji na biashara zote zinazozalisha majitaka kwa wingi na zimeunganishwa kwenye mtandao wa majitaka wanalipiaIpo tayari kumbe...ookay
Taka ngumu ndio chanzo kikuu cha uvundo darHii mambo inahusu Sana mji kunuka
Hivi hii harufu ya baadhi ya mitaa ya jijini Dar naisikia peke yangu tu?
Wakuu kwema! Aisee! Baada ya kutoka kuzurura huko Duniani, sitaki kupataja nisijeonekana najikosha hapa, na wenye nongwa zao na vijiba vya roho wasije nitolea mvuke wa ushubwada. Ila ifahamike tuu nimetoka huko Dunia ilipo. Kwa kweli Dar inanuka vibaya mno. Inanuka vitu mfano wa mavi, sijasema...www.jamiiforums.com
Mkuu, huduma hii ipo katika maeneo machache sana. Ile miundo mbinu ya maji taka iliyojengwa enzi za ukoloni au wakati wa utawala wa awamu ya kwanza haijawahi kuongezwa.Yeah kwa mfano carwash, mahotel, mabar, magereji na biashara zote zinazozalisha majitaka kwa wingi na zimeunganishwa kwenye mtandao wa majitaka wanalipia
Labda kwenye hayo malipo serikali itake kuongeza tozo