Kuna cheo cha Mshauri wa Mkuu wa Mkoa?

Kuna cheo cha Mshauri wa Mkuu wa Mkoa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa Rais najua anakuwa na washauri wake wa mambo ya uchumi na siasa na ni kazi inafahamika kabisa je Kwa level ya RC Na yeye ana huyo mtu na kaajiriwa kabisa na serikali kwa kazi ya ushauri wa mkuu wa mkoa.
 
Mmshauri wa RC ni RAS pamoja na timu yake ya wataalamu wa kutoka sekta zote unazozifahamu yaani uchumi,elimu,afya nk.
Vile vile RC anashauriwa kuhusiana na mambo ya Usalama na vyombo vya Usalama ngazi ya Mkoa yaani Polisi,Magereza,Uhamiaji,Jeshi nk.
Halafu kuna Msaidizi wa Mkuu wa Mkoa..huyu ni kama karani wake tu wa kuratibu na kukumbusha kuhusu ratiba na miadi zake.
 
Back
Top Bottom