Kuna chuma inaitwa Toyota Century: A Rolls Royce "Cullinan wanna be"

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee.

Hii chuma ni SUV, engine 3.5L 2GR V6, model code yake ni G70, (sedan yake ndio G60). Unaweza angalia picha jinsi ilivyofanana na Rolls Royce.


Kama zilivyo Rolls Royce, izi chuma zimekua designed kwaajili ya abiria (boss) wa seat za nyuma, na ndio maana nyuma kuna unyama hatari.


Bei yake inaanzia $170,000 tu, wakati Rolls Royce Cullian inaanzia $400,000 tu.
 
Hata land cruiser inaweza kuwa modded ikawa kama hoteli humo ndani

Rolls Royce ni brand, jina ndo kila kitu aisee

Afu cullinan ni v12 6.7L

Rolls ni majini aisee
 
Bonge moja la chuma yamaana.
Design yake imekaa poa kushinda Roll Royce Kwa kifupi Toyota amecopy alafu akamshinda mwenye design yake
Hafu kwa nusu bei. Kijana wetu wa Tandalw angetuletea ili tu.
 
Dharau ipo hapo mwishi
Shida ipo mwishon unataja $400,000, halafu unamalizia tu kana kwamba ni kdg sana.😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…