Kuna Chuo Chochote Kinatoa Mafunzo Namna Ya Kuongea Mbele Ya Kadamnasi?

MSIBA OYEE !!
Mkuu, nimecheka kama sina akili vile. Kweli huyo jamaa alikuwa mbovu kuliko wewe.
Yule jamaa aliyekushauri hapo juu uwaone viongozi wa dini alikuwa sahihi. Kwenye mafunzo ya huduma za kichungaji kuna somo la communication, ambalo linahusisha namna ya kuandaa ujeumbe na deliverance yake. Hapo kwenye deliverance kuna suala la kusoma hadhara (audience), Namna ya kuanza, njia za deliverance, na jinsi ya kufunga. Jinsi ya ku-gain confidence wakati unapoanza na unapoendelea kutoa ujumbe wako, ni kati ya mambo yanayofundishwa kwenye kozi hiyo.

Nadhani hii pia ni changamoto nzuri kwa watu kufikiria kuwa na masomo yanayofundisha public communication.
 

Kipo. Kinaitwa River Side Bar. Pale Ubungo karibu na daraja. Ukikaa hapo masaa yako 3 tu shwari. Hata speech za kiingereza mbele ya public utaongea.
 

hapo mwisho umetudanganya laivu. Ila umekuwa mkweli. Kuongea mbele za watu wala si kipaji bali ni mazoea (sijui ndo experience)
 
kwa uelewa wangu mdogo, huwa najua ya kuwa MBWA HAFUNDISHWI KUBWEKA!!!
 
hapo mwisho umetudanganya laivu. Ila umekuwa mkweli. Kuongea mbele za watu wala si kipaji bali ni mazoea (sijui ndo experience)
Hakuna sehemu niliyodanganya...
 

Asante.
 
yani umekumbusha kuna mtu alisema Bwana asifiwe kwenye kikao cha wafanyakazi
 
Unapokua unafanya presentation kwenye seminer hapo ndo unapata mafunzo.
 
Kipo. Kinaitwa River Side Bar. Pale Ubungo karibu na daraja. Ukikaa hapo masaa yako 3 tu shwari. Hata speech za kiingereza mbele ya public utaongea.

nakumbuka nilishaenda kupata mafunzo pale lakini niliutubia kwa kiinglish njia nzima hadi nyumbani..
 
zamani British council walikuwa na kozi hiyo kwa kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…