otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 230
Kuna chuo fulani hapa dar kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara ya chuo hicho namimi sifanyi kazi wala sijawahi kusoma kwenye chuo hicho!
Sasa kifupi imekuwa ni kero mno kwangu kupokea simu za wateja wao wanaotaka kujiunga na chuo chao
Kisheria imekaaje hii? Nifanyeje maana haiishi siku sijapokea simu za wateja wao!