Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Kuna chuo chochote hapa Dar es salaam kinachopekea mwanafunzi mwenye D 3 tu kwaajili ya kuanza certificate ya couses za arts Au business?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapotea na utapoteza muda. Kwa mujibu wa NACTE na sheria zao maana vyuo vyote vinavyotoa Diploma kushuka chini vipo chini ya usajili wa NACTE au wanapata usajili toka NACTE ili mwanafunzi asajiliwe ni lazima awe na Passmark kuanzia nne na kuendelea. Hivyo D ni passmark ila zinatakiwa ziwe nne na kuendelea.Kuna chuo chochote hapa Dar es salaam kinachopekea mwanafunzi mwenye D 3 tu kwaajili ya kuanza certificate ya couses za arts Au business?