Utapotea na utapoteza muda. Kwa mujibu wa NACTE na sheria zao maana vyuo vyote vinavyotoa Diploma kushuka chini vipo chini ya usajili wa NACTE au wanapata usajili toka NACTE ili mwanafunzi asajiliwe ni lazima awe na Passmark kuanzia nne na kuendelea. Hivyo D ni passmark ila zinatakiwa ziwe nne na kuendelea.