Kuna continuous yeyote alieomba mkopo kapata mpaka sasa

Kuna continuous yeyote alieomba mkopo kapata mpaka sasa

Joined
Dec 26, 2015
Posts
68
Reaction score
46
Wakuu habari yenu poleni na majukumu aise naomba kuuliza kama kuna continuous yeyote aliomba mkopo na kapata moaka sasa au utaratibu ni ule ule continuous wao ni mpaka batch ya mwisho
 
Endelea kutembelea SIPA yako Mkuu

Continuous ambaye katika Mwaka wa kwanza hakupata mkopo na ameomba ili Apatiwe mwaka huu anabidi kuendelea kutembelea Account yake ya SIPA katika hizi batch za mwisho na endapo hakakosa Aende Helsb bodi kama yupo dsm au akate rufaa .
 
Continuous hatuombi Bali tunapangiwa tu kwasabab tulishaombag tangu first year
Sio kweli awaombi wale ambao walipata mikopo hiyo first year kwa aliyekosa anapaswa kuomba second year akibahatika anapewa ukikosa mkopo first year na aukuomba tena auwezi pangiwa mkopo ndugu
 
Back
Top Bottom