tutaishi milele
Member
- Dec 26, 2015
- 68
- 46
Mmh hii ni kweliContinuous hatuombi Bali tunapangiwa tu kwasabab tulishaombag tangu first year
Kwamba waliomba mwaka huu wamekosea kuomba au mimi ndo sielewi na update wanapata kupitia akaunti ipi?Continuous hatuombi Bali tunapangiwa tu kwasabab tulishaombag tangu first year
Sio kweli awaombi wale ambao walipata mikopo hiyo first year kwa aliyekosa anapaswa kuomba second year akibahatika anapewa ukikosa mkopo first year na aukuomba tena auwezi pangiwa mkopo nduguContinuous hatuombi Bali tunapangiwa tu kwasabab tulishaombag tangu first year
Kama ulipata first year huombi Tena Ila km hukupat ndo unaombMmh hii ni kweli